Somo la Kiswahili kwa Darasa la Kwanza linawasaidia wanafunzi kujifunza na kukuza ujuzi wa kusikiliza, kuzungumza, kusoma, na kuandika. Kupitia shughuli za mazungumzo, michezo, nyimbo, hadithi, na picha, wanafunzi watajifunza misingi ya lugha ya Kiswahili kwa njia ya kufurahisha na yenye maana.
License Type: Free | Subscription: None necessary
Contact Name: KICD elearning department
Contact Email: support@kec.ac.ke or info@kicd.ac.ke
Contact Phone: +254 20 3749900-9, +254 20 3749900-3, +254 729 327 334, +254 787 883 311
Average Review Score:
★★★★★
You must log in and have started this course to submit a review.